ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Can you confirm this? If kama ni kweli this is no joke manMamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Mungu yupo nasi wachimba chumviWanaotoka sio watalii tu hata Watanzania wenye maisha yao walianza muda kidogo watu wanaondoka hapo tunaobaki ni wale wasaga sumu tu wachimba chumvi ambao hata nauli ya Maputo Mozambique hatuna...
kwasasa biashara itayotesa mjini ni ngada tuMamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Mungu ni mwema atatulinda wachimba chumvi nipo Botswana natakiwa kurudi kabla ya hiyo tarehe siwezi kuwa mbali na familia aisee kukiwa bado mambo hayaeleweki..Mungu yupo nasi wachimba chumvi
Uko sahihi, nona jamaa yangu mke na watoto kapeleka zambia, yeye hii wikiafuata hukoWanaotoka sio watalii tu hata Watanzania wenye maisha yao walianza muda kidogo watu wanaondoka hapo tunaobaki ni wale wasaga sumu na wachimba chumvi ambao hata nauli ya Maputo Mozambique hatuna...
Nimeona ni bora kujifungia ndani tu hizi Nchi wakijua umekimbia machafuko kwenu wananyanyasa sana aisee...juzi nipo Durban jamaa kaniuliza umetoka Nchi gani nikamwambia Tanzania akaishia kunipa pole tu..Uko sahihi, nona jamaa yangu mke na watoto kapeleka zambia, yeye hii wikiafuata huko
Acha uzushi na uwongo. Tanzania haina Hatari kama hii ambayo unajitahidi Kuieneza hapa. Ndiyo maana Mnafyekwa.Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
I hope it’s not AI crap.Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Hata kuomba lift kwenye truck?Wanaotoka sio watalii tu hata Watanzania wenye maisha yao walianza muda kidogo watu wanaondoka hapo tunaobaki ni wale wasaga sumu na wachimba chumvi ambao hata nauli ya Maputo Mozambique hatuna...
Hakuna ngozi nyeupr hata mojaMamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Kama ni kweli Kuna kitu hakiko sawa then Kuna jambo baya linaenda kutokea Tz🇹🇿 ( kama ni kweli lkn)Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Watalii ngozi nyeusi tupu!Kama ni kweli Kuna kitu hakiko sawa then Kuna jambo baya linaenda kutokea Tz🇹🇿 ( kama ni kweli lkn)
Mbona hata wewe unaweza confirm uhalali wa picha bila kutegemea jamii check,JamiiCheck iangalieni hii picha kama ni kweli au imechukuliwa sehemu nyingine