masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Hii ni Asante Kikwete+Samia combine.Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Mapoyoyo yanalishana ujinga haya Hadi huruma. Eti Yuko mafichoni, unakalia gogo wewe ee?!!!
Hivi unaamini Kuna wahindi wanajiita Watanzania na Wana uraia wa Canada ?Wataendaje Canada na hii baridi (winter inanza); wanaenda Thailand, Bali, New Zealand na Australia
Atakuja sana tu, tena anakuwa huko ikulu kwenye kiyoyozi na sio hapo kwenu manzese panaponuka mavi Hadi sebureni.Mwambie aje DAR basi atusalimie wapiga kula wake
Kwani winter watu wanakaa nje ya nyumba? Hakuna heater ndani?Wataendaje Canada na hii baridi (winter inanza); wanaenda Thailand, Bali, New Zealand na Australia
Usiiamini sana hiyo AI, huwa inakosea sana.
Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Ndege za SA zimeongezeka bei kutokana na season hii ya December na pia Watanzania wengi kutaka kutoka kwa Tiket moja imekua juu zaidi tofauti na ilivyokua % iliyokua inaongezeka miezi kama hii kipindi kilichopita na nauli ya kuja Tanzania kutoka SA haijaongezeka sana..Upo sahihi mkuu sisi makapuku nauli ya south tu hapo ni shughuli
Nchi za huku kusini ni mji wa Johannesburg tu ndio usalama upo chini ila maeneo mengi ni salama sana...Naskia huko botswana kuna amani kuliko Tanzania
Airport hapo terminal 3JamiiCheck iangalieni hii picha kama ni kweli au imechukuliwa sehemu nyingine
Nope AI inafanya makosa machache sana sikuhizi, this day ina correct info haswa google ambao ndio wana hold hizo informationUsiiamini sana hiyo AI, huwa inakosea sana.
Mkuu hivi wale wahalifu Johannesburg ni wazawa ama wageni kutoka Zimbabwe, Malawi na Msumbiji?Nchi za huku kusini ni mji wa Johannesburg tu ndio usalama upo chini ila maeneo mengi ni salama sana...
Tunaenda kula Christmas moshi tumebadili usafirMamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
Kumbe wewe sio mchimba chumvi mwenzetu mkuu.Mungu ni mwema atatulinda wachimba chumvi nipo Botswana natakiwa kurudi kabla ya hiyo tarehe siwezi kuwa mbali na familia aisee kukiwa bado mambo hayaeleweki..
Daah mimi ni msaka nyoka original huku imetokea zari tu mwanangu usinitenge wala nini...Kumbe wewe sio mchimba chumvi mwenzetu mkuu.
Una uwezo wa kwenda mpaka Botswana, wachimba chumvi halisi tunakimbilia huku Pandagichiza kwa ajili ya kukimbia ghasia.
Ni wageni mkuu wazawa sio sana ndio maana walipo wao huko Durban kupo shwari sana tofauti na Johannesburg..Mkuu hivi wale wahalifu Johannesburg ni wazawa ama wageni kutoka Zimbabwe, Malawi na Msumbiji?
Bado zinafanya makosa mengi, hii ni kwasababu computers zinategemea input data na algorithm, ref GIGO in computability theory.Nope AI inafanya makosa machache sana sikuhizi, this day ina correct info haswa google ambao ndio wana hold hizo information