Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

Na biashara ya maandamano Bilion 5 sio mchezo
Kweli maana kwa hii serikali ya vilaza mtu mpaka anaingiziwa Billion 5 na kuitakatisha na mpaka sahizi hawamjui ni nani na hajakamatwa
 
Bado zinafanya makosa mengi, hii ni kwasababu computers zinategemea input data na algorithm, ref GIGO in computability theory.
Well news flash kuna new training strategy ambayo wanatumia.

And its improving a lot, hazifanyi makosa mengi kama zamani.
 
Well news flash kuna new training strategy ambayo wanatumia.

And its improving a lot, hazifanyi makosa mengi kama zamani.
Kaka, I've worked with neural networks since 2010, training models in breaking captcha, way before open AI project started. If you think AI is smart, ask your favorite model, whether 7653378899754325631 is prime?
 
We used to hear about these things in other countries and we didn't know that it would one day happen in Tanzania. Surely there is no heaven on earth.

The ruling party ccm is obviously facing the gravest challenge to its 64 year old rule and throughout this period the party has enjoyed the voyage in a calm seas that has led it to forget about the people's predicament and that has witnessed it rigging election after election with overt impunity.

There is every indication that this time around the chances of this party surviving and remaining in power are very slim as the state apparatuses that have become its cornerstone are likely to be overwhelmed by the people's power.

Let us keep our keen eyes on the potential developments that are likely to happen in the next few days to come.
 
Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30.
acha upumbavu hakuna mtu anaifikiria D9 mbona , October 29 mlichekewa kidogo na polisi wameshajua walikosea wapi? hawarudii kosa kusubiri mkusanyike yaani mkianza tu shaba shaba ya kichwa peleka nyumbu kaburini likawe mbolea
 
yaaani kuna majitu yanaionea wivu Tanzania balaaaa aiseeeee nyie ningewajua ngekula shaba balaaaa
 
Ndugu, tumia akili kdg tuu hata ya kuzaliwa.
Tumia hatea Google lens kujua ukweli wa hiyo picha na sio kutuletea ngonjera
 
Acha uzushi na uwongo. Tanzania haina Hatari kama hii ambayo unajitahidi Kuieneza hapa. Ndiyo maana Mnafyekwa.
Nani anawafyeka ?
Una intelligence kubwa kuliko Marekani iliyowashauri raia wake kuchukua tahadhari kuanzia tarehe 5 ?
 
acha upumbavu hakuna mtu anaifikiria D9 mbona , October 29 mlichekewa kidogo na polisi wameshajua walikosea wapi? hawarudii kosa kusubiri mkusanyike yaani mkianza tu shaba shaba ya kichwa peleka nyumbu kaburini likawe mbolea
Hivi hicho kichwa chako kina faida gani nyingine zaidi kubebea masikio na kufugia nywele ?

Hivi unajua polisi walivyozidiwa Kwa mamia TU waandamaji Kila mji hiyo tarehe 29?

Ni serikali TU ya wendawazimu inaoamua kushindana na raia wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…