Picha: Waziri Bashungwa akutana na Mwalimu wake wa Shule ya Msingi

Picha: Waziri Bashungwa akutana na Mwalimu wake wa Shule ya Msingi

Bashungwa mwenyewe anaonekana mdogo kwa umri wake.

Nimeshangaa kusikia amesoma shule ya msingi early 90’s ndipo nimemfuatilia kidogo kwa umri huo na muonekano huo hana tofauti na mwalimu wake.
Maana 1991 hadi sasa ni 32 years... na hajafafanua hiyo 91 hadi 93 alikua madarasa gani na huyo mwalimu alikua mwaka wa ngapi kazini!!
 
Bashungwa mwenyewe anaonekana mdogo kwa umri wake.

Nimeshangaa kusikia amesoma shule ya msingi early 90’s ndipo nimemfuatilia kidogo kwa umri huo na muonekano huo hana tofauti na mwalimu wake.
Mpaka miaka ya 90's kama sikosei vyemaa ukimaliza la Saba unaweza enda kusoma ualimu grade A pia kulikuaga na WALIMU wa UPE (UALIMU PASIPO ELIMU) ☺️😊
UNIVERSAL PRIMARY EDUCATION (UPE)
 
Back
Top Bottom