Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Shukran sanaa mkuuNi mlevi huyo wa siku nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sanaa mkuuNi mlevi huyo wa siku nyingi.
Uandishi ni tatizo kubwa hapa TanzaniaWewe ni Innocent Bashungwa?
Kama umemnukuu kwanini hujaweka alama sahihi kuonesha maneno hayo alizungumza mtu mwingine?
Tena pita shwaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa vile umenisihi... acha nipite zangu... [emoji124]
NakubaliiiiiHuyo ni mwalimu wa kiswahili, lkn haishi kiswahili ndo maana anaonekana bado yuko vizuri kiafya na kimuonekano.
MnoooHatari sana !!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uongo unazeesha punguza kuwa muongo
Huyo ni mnyambo sio mhayawahaya ni ni kama Wayahudi. hata wazaliwe mji gani bado wanakichapa Kihaya hadi Kiswahili kibnakuwa kibovu.
Aisee...Na kaishi marekani miaka na miaka.
Inategemea ntu na ntu 🤣🤣🤣Mh! Weee; Kuishi na mwl. iko shuguli.😀
Na wanyarwanda 🤣🤣wahaya ni ni kama Wayahudi. hata wazaliwe mji gani bado wanakichapa Kihaya hadi Kiswahili kibnakuwa kibovu.
Aisee.... 🤣🤣🤣Tena pita shwaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabwakuuuAisee.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]