Picha: Waziri Bashungwa akutana na Mwalimu wake wa Shule ya Msingi

Picha: Waziri Bashungwa akutana na Mwalimu wake wa Shule ya Msingi

Tatizo hata uwe waziri, ukikutana na mwalimu lazima kale ka uwoga ka fimbo bado kanakuwepo. Labda siku hizi hasa hizi shule za mjini adhabu zimepungua sana.
 
Hawazeeki kabisa😂😂kama yule wa Mwigulu ...Ila wanafunzi wana mvi kabisa.
 
Tutaamini vipi kuwa huyo ni mwalimu wake? leta source hapa.
 
Mimi pia nilikutana na mwalimu wangu aliyekua anatuzungusha uwanja tukikimbia mchakamchaka.
 
Back
Top Bottom