Picha: Waziri Bashungwa akutana na Mwalimu wake wa Shule ya Msingi

Ualimu ni kazi ya baraka na iliyotukuka.

Inafanya unaishi Kwa kiasi na ndio Siri ya Walimu wengi jutozeeka.

Mungu ni mwema kila wakati. Leo nimekutana na mwalimu wangu Faith John aliyenifundisha Ubungo Kisiwani Shule ya Msingi kuanzia 1991-1993. Nimefurahi sana kukutana naye pamoja na walimu wenzake katika Shule ya Msingi Kibamba wakati wa ziara leo kukagua barabara zilizoathiriwa na mvua za El Nino.

My Take
Walimu Hawazeeki Mapema.
Chawa anashangilia kila kitu kila wakati
 
Amemwachia kifuta jasho?
 
Amwachie maokoto! ... Wanawasahau sana walimu!... Mama lazima amepata maokoto kati ya 200k-500k
 
Back
Top Bottom