Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

H
Maisha haya yanatufundisha sio lazima mume utoboe
Anaweza kutoboa mke wewe ukafuata nyuma
Swala ni wewe mume kuwa makini
Pambana
Ukimpata mwanamke anayekujali,hii inaonekana pia hata kwa Bananga.
 
Maisha haya yanatufundisha sio lazima mume utoboe
Anaweza kutoboa mke wewe ukafuata nyuma
Swala ni wewe mume kuwa makini
Pambana
Aisee huyo Gwajma Sr sio mnyonge kihivyo!!!
 
Huko ujerumani hawali mananasi yalooza..kama bongo..ni mwendo wa maepo tu au sio.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kipindi kile kuwa msukuma ilikua ni kigezo namba wani kwenye uteuzi.
Qualification kilikua kigezo namba foo
Sasahivi vigezo vimebadilika...lazima uwe mfuasi wa dini ya mnyaazimungu.

Anyway ni mwendo wa kupokezana kijiti.

#MaendeleoHayanaChama
 
  • Kicheko
Reactions: BRB
Wamevaa kishamba kwelikweli hovyo kabisa uko uko Berlin hapo harafu unavaa mavitambaa yako viatu havieleweki mtu washamba ni shamba tu
Atiii...unasema?
Screenshot_20210913-113705_1.jpg
 
Wamevaa kishamba kwelikweli hovyo kabisa uko uko Berlin hapo harafu unavaa mavitambaa yako viatu havieleweki mtu washamba ni shamba tu
wazungu ndio wanavyovaa, wana damu za uzunguni ngozi tu ndio zimewaangusha.
 
Masikini!!! Kama hujui tulia siyo kila kitu useme neno!!

Peleke ujinga Uko, we may have stayed in Europe, America, USA na kwingine, mpaka Poland kukuzidi, unaweza kuwa maskin kuzidi first born wangu.
 
Hapana mavazi wapo Sawa, ili ufanane nao lazima hela itoke nyingi. Nimekaa huo mji. Hao wamevaa simple and cheap
 
Wamevaa kishamba kwelikweli hovyo kabisa uko uko Berlin hapo harafu unavaa mavitambaa yako viatu havieleweki mtu washamba ni shamba tu
Wamepungukiwa Nini ,yaani ni wewe unateseka ndiye unayeumia. Unacheki kukubalika sio lazima jaribu kuwa unique.kwani wewe ndiye si unit ya kucheki Nani akavaa unavyotaka wewe. Halafu Sasa unakuta ni dume zima. Unajua mana ya nguo lakini
 
Back
Top Bottom