Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

Picha: Waziri Gwajima na mumewe wakikatiza mitaa ya Berlin

Mbona kuna watu wanatokwa na povu? Hili ni jukwaa huru kila ana maoni yake
 
Wamevaa kishamba kwelikweli hovyo kabisa uko uko Berlin hapo harafu unavaa mavitambaa yako viatu havieleweki mtu washamba ni shamba tu
Haina shida

Most likely wenye shida ya mavazi ni sisi masikini

Wenye utajiri wa akili au Mali hawana mida ya kuangalia unachoangalia
 
Haina shida

Most likely wenye shida ya mavazi ni sisi masikini

Wenye utajiri wa akili au Mali hawana mida ya kuangalia unachoangalia
Acha kujikosha wewe gwajima nae tajiri !!! Mavazi muhimu kwa kila eneo Yuko Berlin anavaa Kama Yuko shambani kwake singida anakagua alizeti
 
Acha kujikosha wewe gwajima nae tajiri !!! Mavazi muhimu kwa kila eneo Yuko Berlin anavaa Kama Yuko shambani kwake singida anakagua alizeti
Unaona sasa akili fupi haijaelewa ujumbe wangu

Only kapuku ndio anahangaika na mavazi ya watu

Mtu mwenye pesa zake na akili zake Hana huo muda

Whether Gwajima na mkewe na matajiri au la
 
Back
Top Bottom