Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ni picha nzuri sana kwakweli. Zamani nilikuwa natamani kufanya kazi hii ya kupiga picha kwa ajili ya media, baada ya kutotimiza ndoto hizo bado ninajaribu kuipamba nyumba yangu kwa picha nzuri nzuri ukutani.
Tukiachana na hilo. Picha ya juu inamwonyesha Skudu akiwa na macho ya udadisi, ujanja ujanja, na sharp sana kama ya nyoka. Hata alivyoinua kichwa vile ni typically snake-style. Ndo maana jamaa mjanja mjanja sana.
Soma kichwa cha habari ndugu koloMada ni nini?
Soma kichwa cha habari ndugu kolo
Sioni kama ni UUNGWANA Kuitana Majina ya Kolo au Uto kwenye Jukwaa Lenye Great thinkers kama hili.
Tunatiana AIBU na Mambo ya kitoto kama hayo.
Mnachafua Hadhi ya Jamii Forum kwa Akili za kitoto
Kihasibu ni hasaraMada ni nini?
Mkuu kwanini ishindikane bado una mudaNi picha nzuri sana kwakweli. Zamani nilikuwa natamani kufanya kazi hii ya kupiga picha kwa ajili ya media, baada ya kutotimiza ndoto hizo bado ninajaribu kuipamba nyumba yangu kwa picha nzuri nzuri ukutani.
Tukiachana na hilo. Picha ya juu inamwonyesha Skudu akiwa na macho ya udadisi, ujanja ujanja, na sharp sana kama ya nyoka. Hata alivyoinua kichwa vile ni typically snake-style. Ndo maana jamaa mjanja mjanja sana.
Nilimpiga mimi nilikuwa eneo la tukio hapo janaNa mpiga piga picha amepigwa picha na nani?
π€£π€£π€£ππππUnazingua kakaChezea photp lab wewe,yaani eti Aziz K anaonekana handsome
Siku ukipata pesa utashangaa unavyo kua handsome ghaflaChezea photo lab wewe,yaani eti Aziz K anaonekana handsome
Hahaaaaa,ngoja tutafute pesa kwa bidii mkuuSiku ukipata pesa utashangaa unavyo kua handsome ghafla
Umri Mkuu, jua linaelekea kuzama. Au ule msemo 'life begins at 40' unamaanisha kuanza kushape upya career path?Mkuu kwanini ishindikane bado una muda