Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Dada yangu jide ulikuwa na haki kulipiga chini hili kubwa jinga
 
hyu gadner hana mvuto kabisa hahaha hata jide inaelekea kamvumilia sana mzinzi
 
ha ha haaa! AISEE...ze ndi ndi ndiiii.ndo inajibiwa sasa
 
Laana ni kitu halisi ...sio nadharia.
 
Gadner kwa hili amechemka, karuka majivu kakanyaga moto, tatizo amejikita kujibu NDI NDI NDI naona nyimbo ya NDI NDI NDI ya jide inamtesa sana Gadner
hahaha too low asee ila jamaa anapenda kulelewa sasa watawezana kweli nani atamlea mwenzie
 
Duuh Gadna kwa hili umejidhalilisha sana hasa ukilinganishwa na umri wako
 
Sasa mna hasira na picha au hali halisi...coz mi naona tu alichofanya hapo ni just men being men.

Au mnafikiri yule dada yenu aliyefyatuka alitengeneza wale Vyura kwa ajili ya kina nani? aliangalia demand...akatumia fursa...

Na kama sio ban leo video ingekuwa na view milioni mbili......90% ya viewers ni men.
 
Ukimsikiliza Gadna ktk kipindi unaweza fikiri ni mtu mwenye busara nyingi na kimuonekano pia, kumbe akili sio ukubwa wa kichwa wala umuri sio kigezo cha busara, kuna watu ujinga ni asili yao hata wangekufa na kufufuka.
 
hahaha hata hozo keyboard sijnatuficha sana tukionana uso kwa uso wwengine wetu tatakuwa tunatia kinyaa

ni sawa na huyu habash.... ukisikia sauti kama mtu vile
 
umri wake hauruhusu ...........................
hakuna kutetea upumbavu
 
Gadner kwa hili amechemka, karuka majivu kakanyaga moto, tatizo amejikita kujibu NDI NDI NDI naona nyimbo ya NDI NDI NDI ya jide inamtesa sana Gadner
NDI NDI NDI.........angemtafuta tu mdada mmoja wa heshima basi angejituliza hapo.
 
NDI NDI NDI.........angemtafuta tu mdada mmoja wa heshima basi angejituliza hapo.
hana heshima atii bora hata jide yeye alimweka mahali pazuri @least akaheshmika sasa ataporomoka rasmi atakojoza weeee mwishowe atakojozwa yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…