Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

image.jpeg
 
Sijui kwanini watu na akili zenu mnapiga picha na huyo Gigy..yuko desperate na ustar, kila kitu kwake ni fursa matokeo yake Gadna unazidi kudhalilika hasa ukizingatia huo mlupo umerusha hizi picha kipindi hiki wakati mambo hayapo njema kwako loh[emoji35]
hyu gadner hana mvuto kabisa hahaha hata jide inaelekea kamvumilia sana mzinzi
 
ha ha haaa! AISEE...ze ndi ndi ndiiii.ndo inajibiwa sasa
 
Picha ya Gigy Money na Mtangazaji Gadner G Habash Yazua Utata....

Mrembo Gigy Money Anaesifika kwa Bongeo la t***o Bongo ameweka picha kwenye page yake ya Instagram na kuandika maneno haya;
Gigy_money:
Baby chukua #supu
Sinaaa tatzooo na huyu mzeeee mwenzangu amesh......... takriban miez6 @captaintanzania

Hizi Hapa ni Baadhi ya Comments:

Precioussada
Dada jide ulifanya la maana kuondoka maana huyu sio mwanaume ni maradhi

Mudy_makinga
Umekojoleshwa six months mama tukomeshe @gigy_money tem hii na ww endelea kukojoleshwa naww miaka 20 ila ss mwambie akujoleshe mmelala sio mmesimama hutozaa nae na ww! Take care.

Raymondo_soundo
Brother nahisi kama haupo sawa @captaintanzania maisha gani haya???? Basi ata kama unafanya kuwe na mipaka unajizalilisha sana. Nimekumind sanaaaaa..

saraphinam4
MLIMA KITONGA.......lol mwanaume mpenda mtelemko.

nancygodwintillya
Kweli umechanganyikiwa mzee, ulivyokuwa unajiheshimu ukiwa na jide leo umefika huko.
Laana ni kitu halisi ...sio nadharia.
 
Gadner kwa hili amechemka, karuka majivu kakanyaga moto, tatizo amejikita kujibu NDI NDI NDI naona nyimbo ya NDI NDI NDI ya jide inamtesa sana Gadner
hahaha too low asee ila jamaa anapenda kulelewa sasa watawezana kweli nani atamlea mwenzie
 
Duuh Gadna kwa hili umejidhalilisha sana hasa ukilinganishwa na umri wako
 
Sasa mna hasira na picha au hali halisi...coz mi naona tu alichofanya hapo ni just men being men.

Au mnafikiri yule dada yenu aliyefyatuka alitengeneza wale Vyura kwa ajili ya kina nani? aliangalia demand...akatumia fursa...

Na kama sio ban leo video ingekuwa na view milioni mbili......90% ya viewers ni men.
 
Ukimsikiliza Gadna ktk kipindi unaweza fikiri ni mtu mwenye busara nyingi na kimuonekano pia, kumbe akili sio ukubwa wa kichwa wala umuri sio kigezo cha busara, kuna watu ujinga ni asili yao hata wangekufa na kufufuka.
 
hahaha hata hozo keyboard sijnatuficha sana tukionana uso kwa uso wwengine wetu tatakuwa tunatia kinyaa

ni sawa na huyu habash.... ukisikia sauti kama mtu vile
 
Sasa mna hasira na picha au hali halisi...coz mi naona tu alichofanya hapo ni just men being men.

Au mnafikiri yule dada yenu aliyefyatuka alitengeneza wale Vyura kwa ajili ya kina nani? aliangalia demand...akatumia fursa...

Na kama sio ban leo video ingekuwa na view milioni mbili......90% ya viewers ni men.
umri wake hauruhusu ...........................
hakuna kutetea upumbavu
 
Gadner kwa hili amechemka, karuka majivu kakanyaga moto, tatizo amejikita kujibu NDI NDI NDI naona nyimbo ya NDI NDI NDI ya jide inamtesa sana Gadner
NDI NDI NDI.........angemtafuta tu mdada mmoja wa heshima basi angejituliza hapo.
 
NDI NDI NDI.........angemtafuta tu mdada mmoja wa heshima basi angejituliza hapo.
hana heshima atii bora hata jide yeye alimweka mahali pazuri @least akaheshmika sasa ataporomoka rasmi atakojoza weeee mwishowe atakojozwa yeye
 
Back
Top Bottom