Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Avatar isn't nothing.....huwezi kuweka Avatar inayopingana na mtazamo wako...kwa mfano kama dini yako inaharamisha Nguruwe huwezi kutumia picha ya Nguruwe.
hahaha kwani hiyo avatar inakwambiaje labda maana naona unawashwa
 
Kinacholeta shida kwa watu walio wengi ni kutojitambua na kutokukubali matokeo. Linapotokea jambo lolote kwenye maisha yako, inakubidi ukae peke yako kwa kipindi fulani utafakari ni kwa nini jambo fulani limekutokea... majibu utayapata tu. Hapo ndo unafanya maamuzi ambayo kwenye jamii utaonekana mwenye akili timamu...

Picha hii inazusha mawazo mengi vichwani kwa walio wengi .. kwangu limeibuka hili ..
Gogo G, kiasili anapenda sana lundo na bahati mbaya alikotoka hakukuwa hivyo.... ndo maana unaona analiangalia hilo lundo kama zuzu vile ....
 
hana heshima atii bora hata jide yeye alimweka mahali pazuri @least akaheshmika sasa ataporomoka rasmi atakojoza weeee mwishowe atakojozwa yeye
Mmeumizwa sana na Gadner timu kukojozwa hamuamini kama alikuwa na uwezo wa kujibu shombo zenu sasa mnatafuta chochote cha kusuuza nafsi zenu na leo mmekipata mtakesha hapa

Poleni sana ze ndi ndi ndi
 
47c79141dbc78b40fa549b86afb9ff11.jpg
Sasa ndio nini? Mbona picha ya juu alikuwa mweusi, picha za chini mweupe ................
 
ANA MSAADA GANI HUYU MKOJOZAJI ? HANA LOLOTE HAMUUMIZI YEYOTE SANASANA ANAUMIA KWA LIPI ALOKUWA NALO MALIYOO PTYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MBAKA


KUNA WANAUME LAKINI HAWA WA KULELEWA SIYO ISHU BORA KATEMWA ATASIKA MAKALIO MPAKA YA MASHETANI MWONE JISURA LILIVYO KONGOROKA TEHETEHE WANAUME KAMA MABINTIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😀😀😀
Huu muda mnaotumia hapa kumsimanga G wa Habash mi namuita Mkojozaji, mngeutumia kumtafutia Boss wenu Mme anayejielewa aone kama anaweza kukojozwa tena labda akapata na mimba huwezi jua


Huyo mwanaume sura iliyokongoroka kamkojoza Boss wako miaka kumi na tano, na kila siku analia kwenye shimbo kisa wameachana........haamini
 
Uchafu na umbea wa Instagram mnaleta huku acheni mambo ya ajabu wengine tulikimbia Instagram kwa sababu hizi
 
Uchafu na umbea wa Instagram mnaleta huku acheni mambo ya ajabu wengine tulikimbia Instagram kwa sababu hizi
HATA HAPA UTAKIMBIA TU KWANI UNA FAIDA AU HASARA GANI KUWEPO HAPA KWENDRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
AS IF WE NI WA MAANA SANA NA WALA HII HABARI SIKAIKUTA INSTA WACHA KUKARRIRI
055.jpeg
 
Back
Top Bottom