Kinacholeta shida kwa watu walio wengi ni kutojitambua na kutokukubali matokeo. Linapotokea jambo lolote kwenye maisha yako, inakubidi ukae peke yako kwa kipindi fulani utafakari ni kwa nini jambo fulani limekutokea... majibu utayapata tu. Hapo ndo unafanya maamuzi ambayo kwenye jamii utaonekana mwenye akili timamu...
Picha hii inazusha mawazo mengi vichwani kwa walio wengi .. kwangu limeibuka hili ..
Gogo G, kiasili anapenda sana lundo na bahati mbaya alikotoka hakukuwa hivyo.... ndo maana unaona analiangalia hilo lundo kama zuzu vile ....