gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
Mmeumizwa sana na Gadner timu kukojozwa hamuamini kama alikuwa na uwezo wa kujibu shombo zenu sasa mnatafuta chochote cha kusuuza nafsi zenu na leo mmekipata mtakesha hapa
Poleni sana ze ndi ndi ndi
team mtalimbo doro hebu kojoa kalale , huyo kubwa jinga wako mda si Mrefu atapelekwa rehab ya pombe maana stress za kuachwa na kuondoka na DVD player tu zitamuua