Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Wote washamba Sana hao PIA Huyu Gardiner Ana Stress za Maisha , Ni mbaya Sana Kwa Mwanamke kumuacha mwanaume iko Ni kibuti na huwa kinauma Sana ka akili haiko poa lazima utachanganyikiwa hata huyo Jamaa kachanganyika tyr.
 
g
kwan chuo si Kuna wachafu

gadna si mchaga mkuu hamna mchaga wa hvi wachaga wajanja wanawaza ela hamna mchaga Mario anaetegemea Wanawake wamlishe huyu ni mvulana wa dar
Jamaa wa rombo huyu kbs nawajua pia ndugu zake asee
 
Mwenye Stress hujamuona kila siku anaropoka hovyo kwenye mitandao ya kijamii kumhusu bwana'ake hadi nyimbo kstunga ,

Au na wewe ndio wale mmedandia treni kwa mbele hujui kitu

hayo yote unayoongea na mwaka 47 lete jipya tusilojua kuhusu jide na gadner hadi tukupe tuzo ya kuwajua kiundani
 
bab6c95ab165bd192614a37b2d49ca2e.jpg
hapo alishikwa kiuno na idris sasa timu sepenga ika linukisha[emoji23]
 
Mama Karen alivumilia sana matokeo yake ilifika mwisho wakaachana,naona tatizo lipo vipi kama Gardner ukabadilika,Karen ashakuwa bint sasa alafu baba unafanya upuuzi huo nini umemuandalia kwa maisha yake ya baadae?au kumbukumbu mbaya maishani mwake ,jichunguze upya Gardner.
 
CAREN MWENYEWE ANALINGANA NA HUYU GG JAMANI WABABA WENGINE KUZALIWA NAO NI LAANA MOJA KWA MOJA
 
daa kweli ndio maana rombo inadharaulika marangu huwezi Pata mwanaume type ya gadna
[emoji1] [emoji1] [emoji1] G anawaangusha wchga Na misifa waliojimwagia kwenye thread zizilopita.[emoji15]
 
Hili jamaa bado linalijiona kijana asee sijui mchaga huyu ndezi hivi.
Sijui alifkiria nn kupiga hyo picha kilichonikera ni umri wake na mambo anafanya hata haviendani.
huyu jamaa ni mzee eti hivyo vitu angewaachia kina ommy dimpoz
Ana umri gani
 
Back
Top Bottom