Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Ana stress Kawa Mle vi[emoji43] [emoji43] [emoji43] mbwa
 
H
Hiv mdogo wang lemtuz bado sijamuona akipiga picha na huyu mrembo au yeye dau lake dogo maana yeye ndio bingwa wa kusaminisha warembo bongo
5c082745e173633c2ca3321c233bac41.jpg
mobile-gal
[/QUOTE
leo kabadilisha shati?????????????????????????????//
 
Huyu jamaa Gadner anatuaibisha sana wanaume, inabidi tumpelekeke kwa daktari, atakuwa mgonjwa wa kisaikolojia. Kwa mtu anayejitambua hawezi kufanya upumbavu huu.
Kwan kafanyaje kibaya.hivi kila mtu hapa akiposti anachokifanya itakuwaje.muacheni Gadner jamani kupost tu picha imekuwa taabu
 
You guys why y'all bitter!!!? Ni maisha yake mwacheni aishi vile ana taka kwani Jide c washa achana naye!!

ilimrad havunji sheria yuko sawa kivyake vyake
 
You guys why y'all bitter!!!? Ni maisha yake mwacheni aishi vile ana taka kwani Jide c washa achana naye!!

ilimrad havunji sheria yuko sawa kivyake vyake
hatumzungumzii jide

ni huyu baba mtu mzima tunamuongelea
 
Da! shitt! Dr Magufuli lazma atakuja kumuumbua mtu! Watu badala mtuoneshe njia sis wadogo zenu ndiyo kwanzaa mnazidi kutupoteza! Jamaa kweli kichwa box
 
Da! shitt! Dr Magufuli lazma atakuja kumuumbua mtu! Watu badala mtuoneshe njia sis wadogo zenu ndiyo kwanzaa mnazidi kutupoteza! Jamaa kweli kichwa box
hahaha kuna watu wanamtetea ............................

achulia mbali wewe mdogo wake ana binti yake anaitwa caren analingana na gigy hahaha mara anaona picx ya mdingi ake kasika kipwapwiso cha demu mwenzie lolz
 
Back
Top Bottom