Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
- Thread starter
- #161
Ana stress Kawa Mle vi[emoji43] [emoji43] [emoji43] mbwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiv mdogo wang lemtuz bado sijamuona akipiga picha na huyu mrembo au yeye dau lake dogo maana yeye ndio bingwa wa kusaminisha warembo bongo
[/QUOTE![]()
leo kabadilisha shati?????????????????????????????//
Baba mmoja mama mmoja matumbo mbali mbali.Kama Lemutuz vile
kwani kusikika sikika hapa na pale wengine ndio kuna wazidishia ushamba mbona wako bwelele tu mafala kama hawa.Nimeamini idadi ya washamba daaslam inaongozeka
Itakuwa ni mchuzi usio ungwa.Supu ni nini mkuu?
Kwan kafanyaje kibaya.hivi kila mtu hapa akiposti anachokifanya itakuwaje.muacheni Gadner jamani kupost tu picha imekuwa taabuHuyu jamaa Gadner anatuaibisha sana wanaume, inabidi tumpelekeke kwa daktari, atakuwa mgonjwa wa kisaikolojia. Kwa mtu anayejitambua hawezi kufanya upumbavu huu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kwan kafanyaje kibaya.hivi kila mtu hapa akiposti anachokifanya itakuwaje.muacheni Gadner jamani kupost tu picha imekuwa taabu
Vile giggy pesa under 18? Gardner vunja mifupa meno yangalipo.JITU ZINA NA MTOTO WA KULINGANA NA HUYU GIGGY LINAFANYA UCHAFU KWENYE MAKAMERA BAZAZI WAHED
hatumzungumzii jideYou guys why y'all bitter!!!? Ni maisha yake mwacheni aishi vile ana taka kwani Jide c washa achana naye!!
ilimrad havunji sheria yuko sawa kivyake vyake
Kwa hyo hujaoenda hiyo couple amazing!!?hatumzungumzii jide
ni huyu baba mtu mzima tunamuongelea
hihihiihihihiihiiihiiiiKwa hyo hujaoenda hiyo couple amazing!!?
hahaha kuna watu wanamtetea ............................Da! shitt! Dr Magufuli lazma atakuja kumuumbua mtu! Watu badala mtuoneshe njia sis wadogo zenu ndiyo kwanzaa mnazidi kutupoteza! Jamaa kweli kichwa box
kyakyakya ney amemtukanaa .......Demu ana sura mbaya ila ana bonge la taookoooo! by Neema wa Miteguo!