Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Ushanipuuza na huku umenijibu?

Au na wewe ulikojozwa miaka 15?!
Ushanipuuza na huku umenijibu?

Au na wewe ulikojozwa miaka 15?!
4eb47a7ba82151f338f5819e3acd890e.jpg







SHKAMOO.jpg
 
Gardner anachokifanya kinamshushia heshima yake,nahisi anahaha kumuonyesha Jide kwamba anaweza kupata w'ke wazuri kuliko yeye hasa ukiangalia huyu ana Chura Jide ni flat screen sasa anajiringisha aonekane babkubwa...Giggy mzigo anao ila sura inabidi ifunikwe gunia mkiwa kwenye match maana akiwa ana-come utasema anatumbuliwa jipu.
 
Hiv mdogo wang lemtuz bado sijamuona akipiga picha na huyu mrembo au yeye dau lake dogo maana yeye ndio bingwa wa kusaminisha warembo bongo
5c082745e173633c2ca3321c233bac41.jpg
mobile-gal
 
HAHAHAHA WEWE KAMA NANI KWA MFANO UNAYENITUMA CLAUZ ACHA UMBEYA NA KUJIFANYA UNAJUA SANA MAMBO YA MACHOZI BENDI KWANINI YEYE HUU USHAURI ALIOMPA JIDE ASINGEFANYA HAYA MAMBO YEYE MWENYEWE AKATOKA..................................................................................



HANA LOLOTE LABDA UKOJOZAJI TENA USIO NA MAANA
Una wivu wa kike
Endelea kumtetea huyo ajuza wako
 
Mmeumizwa sana na Gadner timu kukojozwa hamuamini kama alikuwa na uwezo wa kujibu shombo zenu sasa mnatafuta chochote cha kusuuza nafsi zenu na leo mmekipata mtakesha hapa

Poleni sana ze ndi ndi ndi

Wanafiki walitaka Gadna akae na machungu moyoni huku wakiendelea kumbully na vinyimbo vyao...sasa kapiteeyn kawachoka kawaambia amemkojoza Komando wao miaka 15 wameumia hao..full mapovu!
 
Supu ni nini mkuu?


Supu ni mchemsho ambao huwekwa kitinya, yaan mafta ya ndani. Ukiletewa mafta huwa yanaeleaelea juu juu. Huoni hayo yalivyoelea juu kwa juu mpaka yanaonekana? Puchi nani anahangaika nazo mujini? Twanywa supu bahnaaaa
 
daa kweli ndio maana rombo inadharaulika marangu huwezi Pata mwanaume type ya gadna
Mkuu usisahau huyu
1463061198349.jpg
sio Mrombo.hawa wapumbavu kote kote wapo hakuna kabila lililokuwa halina watu dizain hii.Japo huyu Gardner bado siamini kama ni mchagha.
 
Supu ni mchemsho ambao huwekwa kitinya, yaan mafta ya ndani. Ukiletewa mafta huwa yanaeleaelea juu juu. Huoni hayo yalivyoelea juu kwa juu mpaka yanaonekana? Puchi nani anahangaika nazo mujini? Twanywa supu bahnaaaa
Mmmh. Maneno ya mjini magumu aiseee
 
Back
Top Bottom