Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

Picha ya Gigy Money na mtangazaji Gardner G Habash yazua utata

47c79141dbc78b40fa549b86afb9ff11.jpg
Hahahaaaa dah watu wachokozi.
 
Hili jamaa bado linalijiona kijana asee sijui mchaga huyu ndezi hivi.
Sijui alifkiria nn kupiga hyo picha kilichonikera ni umri wake na mambo anafanya hata haviendani.
huyu jamaa ni mzee eti hivyo vitu angewaachia kina ommy dimpoz
kwani wazee hawapigi miti ?
 
umri wake hauruhusu ...........................
hakuna kutetea upumbavu
Ok hebu tuambie wewe basi ni umri gani unaruhusiwa?

Of course yes, ni upumbavu pale mkeo atakapogundua kuwa kule Bar uliangalia sana kina dada wa Baikoko wanavyojibetua....lakini hilo haliondoi ukweli kuwa Wanaume watabaki kuwa Wanaume.
 
Huyu jamaa Gadner anatuaibisha sana wanaume, inabidi tumpelekeke kwa daktari, atakuwa mgonjwa wa kisaikolojia. Kwa mtu anayejitambua hawezi kufanya upumbavu huu.
 
Ok hebu tuambie wewe basi ni umri gani unaruhusiwa?

Of course yes, ni upumbavu pale mkeo atakapogundua kuwa kule Bar uliangalia sana kina dada wa Baikoko.
nonesense

na nikiangalia hapa nakuona ni mtu mzima tu lakini unaleta mambo ya kim............... usinipotezee time mie kula kona
 
Ni kweli kila mtu na maisha yake na anaamua anachotaka ila kama celebrity inaidi uchague vitu ambavyo utavifanya undercover na vile vya kudisplay
 
nonesense

na nikiangalia hapa nakuona ni mtu mzima tu lakini unaleta mambo ya kim............... usinipotezee time mie kula kona
Ajabu ya mwaka, unanishambulia ili hali hata hiyo Avatar yako haikuungi mkono.
 
Hili jamaa bado linalijiona kijana asee sijui mchaga huyu ndezi hivi.
Sijui alifkiria nn kupiga hyo picha kilichonikera ni umri wake na mambo anafanya hata haviendani.
huyu jamaa ni mzee eti hivyo vitu angewaachia kina ommy dimpoz
mkuu acha kuleta makabila hapa, kabila halina tabia, watu ndio wana tabia
 
Back
Top Bottom