Hahaaa na hili la kukojozwa sasa ni shida loh. Wadada watamtafuta wamwambie Gadna tukojoze tu.hana heshima atii bora hata jide yeye alimweka mahali pazuri @least akaheshmika sasa ataporomoka rasmi atakojoza weeee mwishowe atakojozwa yeye
Hahahaaaa dah watu wachokozi.
hahahahahahahHahahaaaa dah watu wachokozi.
kwani wazee hawapigi miti ?Hili jamaa bado linalijiona kijana asee sijui mchaga huyu ndezi hivi.
Sijui alifkiria nn kupiga hyo picha kilichonikera ni umri wake na mambo anafanya hata haviendani.
huyu jamaa ni mzee eti hivyo vitu angewaachia kina ommy dimpoz
Ok hebu tuambie wewe basi ni umri gani unaruhusiwa?umri wake hauruhusu ...........................
hakuna kutetea upumbavu
nonesenseOk hebu tuambie wewe basi ni umri gani unaruhusiwa?
Of course yes, ni upumbavu pale mkeo atakapogundua kuwa kule Bar uliangalia sana kina dada wa Baikoko.
Unamaanisha suna eti eehAlikua anamiss sana mahaga make kwa jide hayapo
Basi nimenusurika na hii flat screen yangu.Dada hilo ni asilimia 100
Mshukru mungu wakoBasi nimenusurika na hii flat screen yangu.
asante Mungu.Mshukru mungu wako
Ajabu ya mwaka, unanishambulia ili hali hata hiyo Avatar yako haikuungi mkono.nonesense
na nikiangalia hapa nakuona ni mtu mzima tu lakini unaleta mambo ya kim............... usinipotezee time mie kula kona
avatar is nothingAjabu ya mwaka, unanishambulia ili hali hata hiyo Avatar yako haikuungi mkono.
Avatar isn't nothing.....huwezi kuweka Avatar inayopingana na mtazamo wako...kwa mfano kama dini yako inaharamisha Nguruwe huwezi kutumia picha ya Nguruwe.
mkuu acha kuleta makabila hapa, kabila halina tabia, watu ndio wana tabiaHili jamaa bado linalijiona kijana asee sijui mchaga huyu ndezi hivi.
Sijui alifkiria nn kupiga hyo picha kilichonikera ni umri wake na mambo anafanya hata haviendani.
huyu jamaa ni mzee eti hivyo vitu angewaachia kina ommy dimpoz