Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa



Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa



Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!



Mungu Ibariki CHADEMA.
 
Sema wote ni mabingwa wa kuigiza. Full UNAFIKI, u- SNITCH na huku chuki inawatafuna wote slowly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…