Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa Chadema

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki Chadema.
Baada ha hili Tutaheshimiana.

Mambp ya kusalitiana wajue hatuwaogopi tena
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa Chadema

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki Chadema.
Tuoneshe na picha za wenza wao waliojificha COVID 19
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
MUNGU WANGU MWEMA, SIMAMA NISHUKE NITATEMBEA KWA MIGUU.......Urafiki wa Mashaka! Mmoja hapo ni mnafiki mkubwa. If it were me , I'll never trust him!
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Wanafiki kazini!
 
Umerudi.. Je, umechaguliwa kuwania cheo au? 😅😅😅

Umewaambia wewe ndie wa humu?
 
Sema wote ni mabingwa wa kuigiza. Full UNAFIKI, u- SNITCH na huku chuki inawatafuna wote slowly
Ulitaka wakae mkao gani ili uwaone hawana hizi sifa za unafiki, u-snitch na chuki..?

Ulitaka waingie na kukaa ukumbini kama wanamieleka wanaojiandaa kuanza kugaragazana chini...?

Haya mambo tunayoyaona huku nje kama vile hii miamba miwili ihahasimiana, siyo kivile. Yanazungumzika na watu wanaweza kupatana kabisa...

And that's what I see from these two guys...

Tundu Lissu atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA (hili Mbowe ameshalikubali) ili yeye Mbowe agombee u - Rais mwaka huu 2025...

It's simple just like that...

Tuwalaumu tu kuwa, mapatano haya yamefanyika ikiwa tayari damage na ruputation ya wote hawa wawili imeharibiwa sana na wafuasi wa kambi zao...

They should heve done this earlier before in order to avoid the chaos which is escalating every day...
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Inapendeza sana ndugu wakikaa pamoja kwa kupendana
 
Mnawachanganya ccm sasa
 
Back
Top Bottom