Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Wasipokuja kwa Gadi watapigwa bila idadi
 
kweli kilikuja na meli...soma hii na useme kosa liko wapi

If it were me
Use "if it were me" when describing an imaginary situation or something that's contrary to fact.

let us discuss !
'it were' mmh nime google sjaona sentensi ya hivi mkuu.
 
hujui kiingereza.. ume google wapi, take this then

If it were me uses the subjunctive mood. Formal, prescriptive grammar authorities will tell you this is correct. You must use the subjunctive to express a condition contrary to fact.

Which one is correct? 'If it was me' or 'if it were me'?
The short answer
They are both fine. But! They can mean different things or they can mean the same thing in some dialects.
Conditional
“If” can introduce conditional clauses. “If” X happens, then Y is the basic idea.
“If it was/were me” is not a complete sentence. It is an introductory clause setting a condition for something that is to follow. Perhaps:
  • “If it was/were me, I wouldn’t say a word about it.”
  • “If it was were me, I’d talk to a lawyer about a possible lawsuit.”
 
Duh sawa
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
We uko na nani...??
 
nimesoma kiingereza kuanzia 1962 datasa la kwanza up to now! Najua wewe ni wa shule za kata, walimu wako wooooooooooote failure either wa form 4 or 6. sasa ujauaje kiingereza?

Have a nice day!

'datasa' ?
'ujauaje'' ?
Oky kikubwa pumzi
 
Back
Top Bottom