Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Huenda ilikuwa ni janjajanja yao waliipanga ili wakule Pesa ya kutakata kutoka pande ile 😳🙄 !
Who knows ???!
Akili Mukichwa !
 
Hii picha imewaumiza sana ccm walijua chadema ndo kimeshambaratika
🤣 doh!

Yaani unakichonga kinyago mwenyewe mchana wa Jua kali eti ghafla usiku umeme unakatika kianze kukutisha wewe mwenyewe mchongaji?!

Wafuasi wa Viongozi wa CHADEMA ni maajabu mengine yafaa kusajiriwa UNESCO.
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Ila Mbowe kwa kweli Mungu ambariki tu! Pamoja na kusemwa vibaya bado anamwaga tabasamu tu! Mnaomchafua Mbowe mkome! Hivi ukiondoka CHADEMA wapi utaenda ukanenepe? Msigwa anazidi kupauka tu!
 
Unateseka ?ivumilieee Mashine ndo kwanza zimapewa Maelekezo Engine room
 
Wanaharakati uchwara watamind sana...

Hiyo picha haisambazwi kabisa na wale diaspora 30 wa SyW
Kwani diaspora wana shida na Mbowe? Mbona kwa miaka yote ya nyuma ndiyo wamekuwa mashabiki wake wakubwa? Bila Mbowe kukubali kuwa miaka 20 aliyokaa inatosha, sidhani kama CHADEMA itakuwa salama. Mengine yote ni kujaribu kufunika moto kwa magunia tu.
 
Ila Mbowe kwa kweli Mungu ambariki tu! Pamoja na kusemwa vibaya bado anamwaga tabasamu tu! Mnaomchafua Mbowe mkome! Hivi ukiondoka CHADEMA wapi utaenda ukanenepe? Msigwa anazidi kupauka tu!
Namwonea huruma Msigwa jamani aiseeehh kule kama yatima
 
Kwani diaspora wana shida na Mbowe? Mbona kwa miaka yote ya nyuma ndiyo wamekuwa mashabiki wake wakubwa? Bila Mbowe kukubali kuwa miaka 20 aliyokaa inatosha, sidhani kama CHADEMA itakuwa salama. Mengine yote ni kujaribu kufunika moto kwa magunia tu.
Diaspora wa SyW wana shida kubwa na mbowe
Hakuna wa kumlazimisha kufanya jambo kama hajavunja katiba.

He wasted everything to build that party, wakimkosea heshima na kumzodoa kwa kisingizio cha kukaa sana ni uhayawani tu.
 
🤣 doh!

Yaani unakichonga kinyago mwenyewe mchana wa Jua kali eti ghafla usiku umeme unakatika kianze kukutisha wewe mwenyewe mchongaji?!

Wafuasi wa Viongozi wa CHADEMA ni maajabu mengine yafaa kusajiriwa UNESCO.
Sasa kipindi cha kampeni unataka watu wasifiane a.k.a kuimbiana mapambio unasafari ndefu sana kifikra
Acha watu wacharazane kipindi hiki cha kampeni
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Nyumbu tu ndio watadanganyika na huo unafiki
 
Back
Top Bottom