Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.

Wanafiki tu hawa, shenzy! Kwa namna Mbowe amekuwa analalamika; hao kwa kitendo hicho waende tu Bongo movie wote!
 
Sasa watu walitaka hao viongozi wasiende eneo la tukio wakati bado ni viongozi? Hapo lazima kukutana, then mkitoka hapo huyu kubwabwaja mitandoni yule redion

Kwanza mmoja wapo asingetokea hapo ina maana umma ungemchukulia ndio tatizo, hivyo kuhudhuria vikao na kutabasamu ni kuficha umbo la nje ili usije ukatengeneza hisia hasi huku ukimpa mpinzani wako credit
Uko sahihi, natamani tuendelee na utamaduni wa kuvumiliana kama hivi, nimeona juzi wakati wa mazishi ya rais wa marekani, trump na Obama wanapiga stori kama zote wakati ni Marais kutoka vyama tofauti.
 
Wanafiki tu hawa, shenzy! Kwa namna Mbowe amekuwa analalamika; hao kwa kitendo hicho waende tu Bongo movie wote!
Analalamikia nn ambacho kitafanya hata asikae meza moja na wenzake kwenye chama? Watakaoamua nani awe mwenyekiti ni wajumbe mkuu😂😂
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Wangeandika Umoja daima wangeeleweka
 
Niliwaambiaga humu hawa jamaa siamini kama wanaweza kugombana kirahisi namna ile !
Baadhi ya Watu wakanibeza haya sasa yako wapi !

Niliwaambia watu wanachezeshwa ngoma mpaka wengine wanabinuka 🤣🤣🤣😂😅😄 !!
 
Ulitaka wakae mkao gani ili uwaone hawana hizi sifa za unafiki, u-snitch na chuki..?

Ulitaka waingie na kukaa ukumbini kama wanamieleka wanaojiandaa kuanza kugaragazana chini...?

Haya mambo tunayoyaona huku nje kama vile hii miamba miwili ihahasimiana, siyo kivile. Yanazungumzika na watu wanaweza kupatana kabisa...

And that's what I see from these two guys...

Tundu Lissu atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA (hili Mbowe ameshalikubali) ili yeye Mbowe agombee u - Rais mwaka huu 2025...

It's simple just like that...

Tuwalaumu tu kuwa, mapatano haya yamefanyika ikiwa tayari damage na ruputation ya wote hawa wawili imeharibiwa sana na wafuasi wa kambi zao...

They should heve done this earlier before in order to avoid the chaos which is escalating every day...
Wanagawana mbao hao, CDM kwisha kazi
 
Back
Top Bottom