Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Mchawi na Kuhani
 
Siasa za hivi zimewashinda kabisa ccm, chama cha mbeleko ya vyombo vya dola. Wao ni kutekana, kampeni za kumtukuza mwenyekiti ili kupata vyeo.

Uchaguzi wa cdm umerejesha ladha ya chaguzi za ushindani wa kisiasa tunazozitegemea, sio zile chaguzi za kishenzi chini ya ccm. Tunaona midahalo na kujinadi waziwazi kwa wagombea. Inshort cdm wanafanya siasa za level ya juu sana.
Well Noted Mkuu
 
Hata Mwana wa Adamu alisalitiwa kwa kubusiwa,sasa huo usaliti wa kubusiana usitimie hapa.
 
Back
Top Bottom