Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Bora ni raisi lakini hawezi kua RaisMbowe mwenyekiti, Lisu raisi niko palee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora ni raisi lakini hawezi kua RaisMbowe mwenyekiti, Lisu raisi niko palee
Hivi hapo Mbowe ana tabasamu kutoka moyoni?Hata Yuda Iskarioti alimkumbatia Yesu 😂
ivi alibusu wapiHahaha
Siasa za hivi zimewashinda kabisa ccm, chama cha mbeleko ya vyombo vya dola. Wao ni kutekana, kampeni za kumtukuza mwenyekiti ili kupata vyeo.Sema wote ni mabingwa wa kuigiza. Full UNAFIKI, u- SNITCH na huku chuki inawatafuna wote slowly
Ni utoto gani umepost hapa dogo?
Chawa la chura kiziwiSema wote ni mabingwa wa kuigiza. Full UNAFIKI, u- SNITCH na huku chuki inawatafuna wote slowly
Noma sana!Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!
Shule za Kata alizoanzisha Lowassa ndio zimetusukuma kuandika kiingerezaHivi lugha ya chadema ni kizungu? Au hiyo slogan ya 'stronger together imelengwa kwa wale wana diaspora wa TAL na mabeberu? Kwa nini isiwe 'Umoja ni Nguvu"?
Anyway, hapo Mbowe anaonekana kijana zaidi kuliko Lissu. Kweli age is just a number!
Kazi ya moyo ni kusukuma damu tuHivi hapo Mbowe ana tabasamu kutoka moyoni?
We utampigia kura nani kati ya Lissu na Mbowe?Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu
Tabasamu la Petro Mwamba " Bwana ijapokuwa kufa pamoja nawe sitakukana kamwe"Hivi hapo Mbowe ana tabasamu kutoka moyoni?
Kura ni siri kubwaWe utampigia kura nani kati ya Lissu na Mbowe?
Sote tunajua utamchagua Mbowe...Kura ni siri kubwa
Hivi kwanini Mbowe hataki kuachia madaraka, mpaka wadau wamepiga sana kelele?Tabasamu la Petro Mwamba " Bwana ijapokuwa kufa pamoja nawe sitakukana kamwe"
Ulale Unono 😀
Wewe wasemaSote tunajua utamchagua Mbowe...
HahaaaUchaguzi wa cdm umerejesha ladha ya chaguzi za ushindani wa kisiasa tunazozitegemea, sio zile chaguzi za kishenzi chini ya ccm
Inatakiwa mumshinde kwenye Uchaguzi ili atoke, ndio dawa yakeHivi kwanini Mbowe hataki kuachia madaraka, mpaka wadau wamepiga sana kelele?
Umempelekea uji Dr. Slaa mahabusu?😁Too late