Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Picha ya Kufungulia mwaka 2025 hii hapa, Imepatikana Mikocheni

Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Hiyo inaitwa urafiki wa mashaka
 
Ulitaka wakae mkao gani ili uwaone hawana hizi sifa za unafiki, u-snitch na chuki..?

Ulitaka waingie na kukaa ukumbini kama wanamieleka wanaojiandaa kuanza kugaragazana chini...?

Haya mambo tunayoyaona huku nje kama vile hii miamba miwili ihahasimiana, siyo kivile. Yanazungumzika na watu wanaweza kupatana kabisa...

And that's what I see from these two guys...

Tundu Lissu atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA (hili Mbowe ameshalikubali) ili yeye Mbowe agombee u - Rais mwaka huu 2025...

It's simple just like that...

Tuwalaumu tu kuwa, mapatano haya yamefanyika ikiwa tayari damage na ruputation ya wote hawa wawili imeharibiwa sana na wafuasi wa kambi zao...

They should heve done this earlier before in order to avoid the chaos which is escalating every day...
Key point👆 REPUTATION YA HAWA WAWILI(Mbowe & Lissu) IMESHAHARIBIWA SANA NA WAFUASI WA KAMBI ZAO.
Umeandika kitu kikubwa sana in just one sentence.
Wafuasi wa hawa jamaa ni kama wana upungufu flani vichwani mwao kabla ya kujua what will be the outcome kwa mihemko wanachafua watu wao to the point hata jamaa wakifikia ku-compromise on certain issues wafike fifty fifty then waliburuze gurudumu kwa pamoja the damage control will be an uphill task.
 
Mkuu si kila umuonae humu ni mbumbumbu wa kila kitu. Kuna watu wana nufaika na hayo lakini kuna watu wanapoteza MALI,NGUVU MUDA NA MVUTO katika hayo!
Sasa kwanini msiwaachie wenyewe wamalize mambo yao kutwa kucha mumejazana humu watu wa CCM kuingilia mambo yasiyowahusu,mna manufaa gani na Mbowe kuwa mwenyekiti 8?
 
I
kweli kilikuja na meli...soma hii na useme kosa liko wapi

If it were me
Use "if it were me" when describing an imaginary situation or something that's contrary to fact.

let us discuss !
f it were me I could have done this and that and that and that and then ending in doing nothing at all 🤣🤣😂

Hii Jiingereza yangu ya kuombea maji tu 😅😅😄
Wanasemaga always at least say something to make other people feel better and make them happy 😃 ! 😳

Hii ni Jiingereza ya NdolelejiUduhe karibu na Shagihiru 😂😂👍🙌 !
 
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile picha iliyosubiriwa na wengi, kwa ajili ya kuufungua mwaka 2025, tayari imepatikana.

Picha hiyo Kabambe imepatikana Mikocheni kwenye Vikao vya Usaili vya Wagombea wa CHADEMA

Hii hapa

View attachment 3198820

Jambo hil linalotufungulia Mwaka limeambatana na Kauli Mbiu Mpya ambayo ni Rahisi kutamkwa hata na mtoto wa miezi miwili huku ikibeba maana kubwa sana

Kauli yenyewe hii hapa

View attachment 3198826

Bali kinachoshangaza ni kitendo cha Wadau wa siasa kuendelea kupigwa na Bumbuwazi huku Mamluki Wakishangaa!

View attachment 3198829

Mungu Ibariki CHADEMA.
Huyu Lissu si machadema yanasema anaropokaga?
 
Back
Top Bottom