Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Hiyo dharau kwa dini ya kiislamu yaani mke kichwa wazi mbele ya mashehe basi na uislamu umebakwa.
Nilishaaminishwa kuwa kichwa cha mwanamke wa kiislamu kuona nywele zake ni zaidi ya kuuona utupu wake basi leo nimeona makubwa.
Kwa hiyo hao wanaume waliosimama ni wakatoliki, wamoreviani na wapentekoste na huyo bwana harusi ni msabato au shahidi wa Jehovah?.Hebu mtaje shehe mmoja hapo kwenye picha aliyevunjiwa heshima na bi harusi kichwa mwenye wazi.
Kwa hiyo hao wanaume waliosimama ni wakatoliki, wamoreviani na wapentekoste na huyo bwana harusi ni msabato au shahidi wa Jehovah?.
Nijibu hayo kwanza tusiende mbali aaaalaaaaa.
HaahhahahaDogo janja ananipa moto sana
Mbitiyaza uko wapi bas miaka 15 unayonizid isiwe tabu kipenz cha moyo wangu
kwani huyo bi harusi na bwana harusi wanatofuti yoyote kitabia?maadili na malezi yao?Huyo mwanamke keshaonesha kutofaa. Kichwa cha mwanamke swafi hufunikwa
Wanamuona uwoya demu wa masikhara sana hawa!wamuita mwenzio pimbi huku unatamani iyo nafasi
Huamini, wewe TID?bado siamim
Kwani ya kidini au kimila? Dini gani au mila gani?Huyo mwanamke keshaonesha kutofaa. Kichwa cha mwanamke swafi hufunikwa