Picha ya Kwanza ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Picha ya Kwanza ya Dogo Janja na Irene Uwoya

Hiyo dharau kwa dini ya kiislamu yaani mke kichwa wazi mbele ya mashehe basi na uislamu umebakwa.
Nilishaaminishwa kuwa kichwa cha mwanamke wa kiislamu kuona nywele zake ni zaidi ya kuuona utupu wake basi leo nimeona makubwa.

Hebu mtaje shehe mmoja hapo kwenye picha aliyevunjiwa heshima na bi harusi kichwa mwenye wazi.
 
Hebu mtaje shehe mmoja hapo kwenye picha aliyevunjiwa heshima na bi harusi kichwa mwenye wazi.
Kwa hiyo hao wanaume waliosimama ni wakatoliki, wamoreviani na wapentekoste na huyo bwana harusi ni msabato au shahidi wa Jehovah?.
Nijibu hayo kwanza tusiende mbali aaaalaaaaa.
 
Yale yale ya Kanumba na Lulu, Naseeb na Zari
 
Kwa hiyo hao wanaume waliosimama ni wakatoliki, wamoreviani na wapentekoste na huyo bwana harusi ni msabato au shahidi wa Jehovah?.
Nijibu hayo kwanza tusiende mbali aaaalaaaaa.

Siwajibiki kujibu swali kabla hujajibu swali la awali, ambalo kimsingi utakua unajibu swali lako; katika hao wanaume taja mmoja ambae ni shehe ataekua kavunjiwa heshima na bi harusi kichwa wazi.
 
"Usisikize kelele za hawa mabooya, wanaosema namtamani Uwooya" - Janjaro
 
Bonge la gun, ur number one, unanipanipa hadi mambo ya uani....
 
Huyo mwanamke keshaonesha kutofaa. Kichwa cha mwanamke swafi hufunikwa
kwani huyo bi harusi na bwana harusi wanatofuti yoyote kitabia?maadili na malezi yao?
hapo walipofika wamejitahidi pole pole Mungu atawaongoza watanyooka
 
7008899cb44b6f2b2bd7b07da3c03019.jpg

Hii nayo tuliambiwa hivovo lkn badae tukaisikia "waache waoane"
 
wamuita mwenzio pimbi huku unatamani iyo nafasi
Wanamuona uwoya demu wa masikhara sana hawa!
waviweke hapa hiyo vifefe vyao hapa hadharani wasikie hadithi za ajabu kuhusu hivyo vifefe vyao tutavijua mpaka vilivyokuwa vinapigwa mtungo!
 
ntaamini baadae sana bongo movie ni wasanii
 
Hakuna ndoa ya kiislam ilio hivo...mtoto wa kike hana ushungi...hahaha
 
Itakuwa waliomba picha tu ya kumbukumbu....hii ni Ngumu kuamini....!!
 
Back
Top Bottom