Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Hiyo dharau kwa dini ya kiislamu yaani mke kichwa wazi mbele ya mashehe basi na uislamu umebakwa.
Nilishaaminishwa kuwa kichwa cha mwanamke wa kiislamu kuona nywele zake ni zaidi ya kuuona utupu wake basi leo nimeona makubwa.
Hebu mtaje shehe mmoja hapo kwenye picha aliyevunjiwa heshima na bi harusi kichwa mwenye wazi.