Picha ya mafuriko chuo cha CBE, aliyejenga chuo awajibishwe

Picha ya mafuriko chuo cha CBE, aliyejenga chuo awajibishwe

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu.

Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo kujaa maji.

USSR
20230209_172922.jpg

View attachment 2511704
 
Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe,mambo ya hovyo sana haya hakukuwa na upembuzi yakinifu

Leo watu wamehailisha mitihani Dar es salaam campus kisa chuo kujaa maji

USSR View attachment 2511702
View attachment 2511704
Tatizo hamjui kama wazee wetu walikuwa wakiishi Bagamoyo na Kisarawe na hiyo Dar es Salaam ya leo kuanzia vingunguti hadi postal ndo yalikuwa mashamba yao ya mpunga. Sasa mpunga unalimwa kwenye mazingira gani.

Mafuriko ni hali ya kawaida dunia nzima kwasababu wakati mwingine historia inaanza pale palipoandikwa kama hapakuandikwa mnakuwa hamjui huko nyuma (say 100 years) kulikuwa na nini. Huo mto Msimbazi ulikuwa bonge ya mto kama unavyouona mto Ruvu leo. Ndio maana njia ya kwenda Bara ilipita Bagamoyo Hadi Msata kwasababu ndiko makazi yalikokuwa. Dar ni mji mpya uliokuwa na madimbwi ya maji katika maeneo mengi.
 
Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe,mambo ya hovyo sana haya hakukuwa na upembuzi yakinifu

Leo watu wamehailisha mitihani Dar es salaam campus kisa chuo kujaa maji

USSR View attachment 2511702
View attachment 2511704
Wabongo Ujanja ujanja mwingi Mjerumani hakukijenga hivyo

Huo mlango umetobolewa miaka hii ya 2000+
 
Asa aliyejenga chuo amekosa nini?
Huwezi kuona kuwa the whole area ina shida.........
Kwanini usiseme aliyechagua hilo eneo?
 
Back
Top Bottom