Picha ya mafuriko chuo cha CBE, aliyejenga chuo awajibishwe

Tatizo hamjui kama wazee wetu walikuwa wakiishi Bagamoyo na Kisarawe na hiyo Dar es Salaam ya leo kuanzia vingunguti hadi postal ndo yalikuwa mashamba yao ya mpunga. Sasa mpunga unalimwa kwenye mazingira gani.

Mafuriko ni hali ya kawaida dunia nzima kwasababu wakati mwingine historia inaanza pale palipoandikwa kama hapakuandikwa mnakuwa hamjui huko nyuma (say 100 years) kulikuwa na nini. Huo mto Msimbazi ulikuwa bonge ya mto kama unavyouona mto Ruvu leo. Ndio maana njia ya kwenda Bara ilipita Bagamoyo Hadi Msata kwasababu ndiko makazi yalikokuwa. Dar ni mji mpya uliokuwa na madimbwi ya maji katika maeneo mengi.
Wazee wako wapo namtumbo acha kelele dogo

USSR
 
Bado siyo excuse kwenye hii kadhia kwani si mara ya kwanza mafuriko kutokea kwenye maeneo hayo, Engineers wa miundombinu wana kazi gani?
 
Back
Top Bottom