Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Pia mbona hata stendi ya Gold Star Kariakoo kwa magari yanayotokea Gongo La Mboto huwa panajaa sana maji na mighorofa kama yote tu imejaa pale?
Hapo vipi?
Hapo vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema mnatabu nyie ha hasafi sana !
Ni ishu ya blockage tu, acheni kutupa taka kwenye dranage chambersMvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe,mambo ya hovyo sana haya hakukuwa na upembuzi yakinifu
Leo watu wamehailisha mitihani Dar es salaam campus kisa chuo kujaa maji
USSR View attachment 2511702
View attachment 2511704
Bahari huwa inahamishwa, D'Salaam basically ilikuwa ni swamp ilikuwa na mashamba ya mpunga back then when it was still a fishing village lakini haimaanishi hawawezi kujenga drainage system ya maji kuwa hayatuami. It's a very costly project but if there is a will it can be done.Mainjijia watafanya nini kama mmejenga baharini bwashee
Kwahiyo mlango ukizibwa maji yanapotea hapo?Maji yalikuwa hayaingii Ndani
Huo mlango haukuwepo zamani!
Wafuge Kambare sasa!!Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe,mambo ya hovyo sana haya hakukuwa na upembuzi yakinifu
Leo watu wamehailisha mitihani Dar es salaam campus kisa chuo kujaa maji
USSR View attachment 2511702
View attachment 2511704
NdioKwahiyo mlango ukizibwa maji yanapotea hapo?
Ni utumishi? Au idara ya kazi!Yalikuwa yanajaa kule Utumishi na Nssf
It's easier to bulldoze all the buildings erected on the main waterways.Bahari huwa inahamishwa, D'Salaam basically ilikuwa ni swamp ilikuwa na mashamba ya mpunga back then when it was still a fishing village lakini haimaanishi hawawezi kujenga drainage system ya maji kuwa hayatuami. It's a very costly project but if there is a will it can be done.
Utumishi hapo katikati ya CBE na DITNi utumishi? Au idara ya kazi!
Miaka mingi sana, zilikuwa hostel za chuo cha Magogoni.Utumishi hapo katikati ya CBE na DIT
Yes, kwa chini walipangisha ofisiMiaka mingi sana, zilikuwa hostel za chuo cha Magogoni.
RenovationKwani kimejegwa leo ujue kama miundo mbinu uwa inachoka na inaitaji innovation
Huyu kweli lni azima atawajibishwa. Yaani pale CBE Mkuu wa Chuo ni Profesa mmoja smart sana halafu amenyooka kuzidi hata rula. Kwa ubabaishaji huu, namhurumia mtu fulani mahali fulaniMvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu.
Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo kujaa maji.
USSR View attachment 2511702
View attachment 2511704
Mkuu kwani contract ya ujenzi wa chuo ilihusisha na miundombinu ya kupeleka maji baharini?Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu.
Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo kujaa maji.
USSR View attachment 2511702
View attachment 2511704