Picha ya mafuriko chuo cha CBE, aliyejenga chuo awajibishwe

Tatizo hamjui kama wazee wetu walikuwa wakiishi Bagamoyo na Kisarawe na hiyo Dar es Salaam ya leo kuanzia vingunguti hadi postal ndo yalikuwa mashamba yao ya mpunga. Sasa mpunga unalimwa kwenye mazingira gani.

Mafuriko ni hali ya kawaida dunia nzima kwasababu wakati mwingine historia inaanza pale palipoandikwa kama hapakuandikwa mnakuwa hamjui huko nyuma (say 100 years) kulikuwa na nini. Huo mto Msimbazi ulikuwa bonge ya mto kama unavyouona mto Ruvu leo. Ndio maana njia ya kwenda Bara ilipita Bagamoyo Hadi Msata kwasababu ndiko makazi yalikokuwa. Dar ni mji mpya uliokuwa na madimbwi ya maji katika maeneo mengi.
 
Wabongo Ujanja ujanja mwingi Mjerumani hakukijenga hivyo

Huo mlango umetobolewa miaka hii ya 2000+
 
Asa aliyejenga chuo amekosa nini?
Huwezi kuona kuwa the whole area ina shida.........
Kwanini usiseme aliyechagua hilo eneo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…