MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Kama.barabara zinajengwa Bila mitaro ya kuchukua Maji unatarajia nini? Dar salaam wanajua kujenga maghorofa marefu lakini barabara pembeni hazina mitaro. Jana hapo post nguma ya morogoro road kuazia kituo cha kisutu kupanda juu kulikua hakupitiki barabara zimejaa maji. Ila pembeni kuna majengo marefu yamejaa nakshi.hadi paani. Poor dar es salaam.Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu.
Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo kujaa maji.
USSR View attachment 2511702
View attachment 2511704
Tuko busy kupeana PhD za heshima mkuu.Hii serikali inafanya kazi kwa kutegeana, kuna watu wamegoma kabisa kufanya majukumu yao. Wakati mabwawa yamekauka tulihangaika na umeme, sasa mabwawa yamejaa kwa mvua tunahangaika na mafuriko. Inasikitisha kwa kweli kwa sababu bahari ipo mita 500 tu kwa nini kuwe na mafuriko katikati ya jiji?
Yaani hata kuzibua mitaro ya kupeleka maji baharini hadi waje wawekezaji ?
Huna akiliNdio
Haya!Huna akili
Nimesoma Upanga primary, O-Level Fodhani zamani sana. Ni mtu mzima hapa, tulitumia libraries za British Council, Tanganyika library na USIS(in the eighties) na ni kweli mafuriko yamekuwa mengi zaidi ya ilivyokuwa back in the day(literally miaka hiyo hakukuwa na mafuriko CBD area) lakini ukiishi ughaibuni unaona mifumo ya drainage inavyojengwa na inavyofanya kazi. Dar(town center na maeneo yote ambayo huwa yanafurika) inawezekana sana kujenga mifumo ya drainage itakayo kabili mafuriko, it takes a will and a lot of money. Ni kitu kinachowezekana kabisa, kukwepwa gharama za kujenga hiyo mifumo ni kukaribisha aina nyingine za gharama pamoja majanga yanayoweza kusababishwa na mafuriko.It's easier to bulldoze all the buildings erected on the main waterways.
Nimekulia Dar na nimesoma Forodhani na tanganyika library nimeitumia tangu utotoni hakuna mvua iliyokuwa inatuama mjini. Hakukuwa kitu kama hicho, huo ni mkondo wa maji uliozuiwa na ujenzi holela.
Ikiamriwa bulldozer mnapiga kelele mpaka benki ya Dunia.
Aaah PoaKataa ndoa
Utamwajinisha nani,chuo kilijengwa miaka ya 60 na kuzinduliwa na Nyerere mwaka 1965Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu.
Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo kujaa maji.
USSR View attachment 2511702
View attachment 2511704