Picha ya mama Wema

Picha ya mama Wema

mwanacc

Member
Joined
May 31, 2014
Posts
42
Reaction score
6
Mama wema ndo habari ya mujini....
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    3.1 KB · Views: 10,215
Hakuna kitu kibaya kama kudharau au kumtukana mzazi wa mwenzako ni ukosefu wa hekima na adabu.
Mama anauma jamani watu muwe na mipaka ktk dhiaka na upuuzi, inawezekana aliyefanya hivyo mama yake yupo hai ndio maana anaona ni jambo la kawaida ,siku akimpoteza ndio atajua thamani na umuhimu wa mama na hatorudia kufanya huo ujinga.
Nilipoteza my mum miaka 4 iliyopita najua ninachokikosa hapa duniani kwa kutokuwepo kwake ,ndio maana nawashauri waheshimuni na wapendeni mama zenu na mama wa wenzenu.
 
Nimekupenda bure. Umeongea point sanaa
 
Hvi kuna nini kuhusu mama wema..

mkuu huko instagram kuna kuna team zimeundwa za ushabiki matokeo yake ni matusi kutukanana ilitokea jana ipinzani wa wema walipost picha ya mama wema ya aibu kitu ambacho si vema kuhusisha wazazi ktk beef ambazo haziwahusu kwa kweli inasikitisha hasa
 
Ndo mana mi hzi team naziona za.kipuuzi tu ila maselebriti wa kibongo wao wanaona.team we unapendwa haya ni madhara yake hadi kudhalilisha wazazi too much
 
Kuna clip imewekwa ya mamake diamond anabanduliwa live na ki serengeti boy ...mama ana miuno hatareeee
 
mkuu huko instagram kuna kuna team zimeundwa za ushabiki matokeo yake ni matusi kutukanana ilitokea jana ipinzani wa wema walipost picha ya mama wema ya aibu kitu ambacho si vema kuhusisha wazazi ktk beef ambazo haziwahusu kwa kweli inasikitisha hasa

Tatzo n haohao ma star kuendekeza mambo ya kipuuz hayo mambo ya team ya faida gani.!wangesema No to team zozote hata zinazowaunga mkono wasingefika kwote huko kwa kudhalilisha wazazi..
 
Nimeiona hiyo picha aise mama amedhalilishwa sana hata kama ni ya kweli au Photoshop but It's really bad
 
Ndo mana mi hzi team naziona za.kipuuzi tu ila maselebriti wa kibongo wao wanaona.team we unapendwa haya ni madhara yake hadi kudhalilisha wazazi too much

Ndo wakome, kajala alivyokuwa akitukanwA na mwanae na picha zake za uchi kuzisambaza walikuwa wanaona utamu eeh?? Sasa ndo wajifunze hizo team zao sio nzur, mi kwa upande wangu ki ukweli nimefurah sana, maana hat wema wakat team yake ikimtukana kajala na mwanae alikuwa kimya badala ya kuikanya team yake, na yeye yamemkut, saf san, m nimefurahi
 
Hahahaaaa....you have a point binamu
 
Hahahaaaa....you have a point binamu

Kajala katukanwa sana na mwanae na huyo jipange, halaf leo linajifanya eti watu wamuogope mungu, ila yeye wakat anamtukana kajala na mwanae ndo alikuwa hamuogop mungu?? Ki ukweli huyo mtu kanifuraisha sana , kawakomesha vibaya, ila katisha, team wema kimyaa kubabeki wanajifanyag wamepinda kumbe kuna watu wamekatika kabisa
 
Back
Top Bottom