wangewange
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 189
- 43
Ni account ya nan huko instagram??? Dah not gud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajala katukanwa sana na mwanae na huyo jipange, halaf leo linajifanya eti watu wamuogope mungu, ila yeye wakat anamtukana kajala na mwanae ndo alikuwa hamuogop mungu?? Ki ukweli huyo mtu kanifuraisha sana , kawakomesha vibaya, ila katisha, team wema kimyaa kubabeki wanajifanyag wamepinda kumbe kuna watu wamekatika kabisa
Hahahahhaha yaani kweli hawa wamekatika kabisa. Niliona post moja dada yake wema aliandika "haya sasa iumepata ulichokuwa unakitafuta "
Watu wabunifu, sijui huyo mtu aliwaza nini?? Sipat picha kajala alivyofurah na akina penny
Kajala katukanwa sana na mwanae na huyo jipange, halaf leo linajifanya eti watu wamuogope mungu, ila yeye wakat anamtukana kajala na mwanae ndo alikuwa hamuogop mungu?? Ki ukweli huyo mtu kanifuraisha sana , kawakomesha vibaya, ila katisha, team wema kimyaa kubabeki wanajifanyag wamepinda kumbe kuna watu wamekatika kabisa
Kwani kuna nini nipe umbea binamu
Lazima waaherehekee kwafuraha. Maana teamwema wanadhalilisha sana watu. Pia. Jackline wolper atakua amefurahi maana wamemuandama sana.khaaaa
Halafu watu bhana, wanajifanya kumpa pole wema mbona kajala alivyotukanwa sana hata sikuona watu wakimpa pole ndo kwanza wanamkandia, malipo apa apa duniani, kuuma inauma sana asikwambie mtu, mama mzazi wamuweke uchi?? Halaf mtu mzima, inauma sana, huyo mtu kaumiza familia nzima, na wema ndo ajifunze na hizo team zake ambazo hazumsaidiii chochote
Ndo wakome, kajala alivyokuwa akitukanwA na mwanae na picha zake za uchi kuzisambaza walikuwa wanaona utamu eeh?? Sasa ndo wajifunze hizo team zao sio nzur, mi kwa upande wangu ki ukweli nimefurah sana, maana hat wema wakat team yake ikimtukana kajala na mwanae alikuwa kimya badala ya kuikanya team yake, na yeye yamemkut, saf san, m nimefurahi
Enzi zake alikuwa wamo.
Watu sijui wame edit picha ya mama wema au ni yeye akiwa uchi na manyonyo pamoja na kipwapwiso njee halaf sura ya mama wema ndo zimesambazwa insta uko
Watu wabunifu, sijui huyo mtu aliwaza nini?? Sipat picha kajala alivyofurah na akina penny
Picha ni orijino ile ..haija editiwa
Sishangai maneno kama hayo kutoka kwako Warumi sababu sikuzote nasoma post na comments zako juu ya Wema huwa ni negative , lakini kwahili hupaswi kufurahia labda kama una matatizo ya akili kidogo kichwani.
Kajala na Wema wakitukanwa na team zao ni sawa sababu wao ndio players lakini kama mtoto wa Kajala akitukanwa ni makosa pia.
Wamefurahi kama wewe ulivyofurahi!!! msiojua thamani ya wazazi na maana yake.
Wamefurahi kama wewe ulivyofurahi!!! msiojua thamani ya wazazi na maana yake.
Nadhani kama kulikuwa na bifu ni bora wangeweka picha wema mwenyewe kuweka picha za mama Wema siyo istaarabu kabisaa
All in all she need to change maana hizo team zake ni watu wake wa karibu sana inabidi awaaambie waache kudhalilisha watu ili nae asiumie. Kuna kipindi walimdhalilisha sana mtoto was Kajala.