Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ndo wakome, kajala alivyokuwa akitukanwA na mwanae na picha zake za uchi kuzisambaza walikuwa wanaona utamu eeh?? Sasa ndo wajifunze hizo team zao sio nzur, mi kwa upande wangu ki ukweli nimefurah sana, maana hat wema wakat team yake ikimtukana kajala na mwanae alikuwa kimya badala ya kuikanya team yake, na yeye yamemkut, saf san, m nimefurahi
Ni kweli binamu wanapenda kumnyoshea kajala kutukana hadi na mtoto wake badala.ya kuziambia waache madhara yake ndo hayo sasa yamefka hadi kwake naye azikanye tulisema wanaona watu ni hater ona sasa.wanakupanda really.hzi team zimekosa kazi