Kuna kipindi walikuwa hawaivi hatar, kipindi kile aunty ezekiel ndo diva wa bongo movie , wema alimtukanaga aunty akamwambia sura yake mbaya imekomaa hata haifai kukaa kwenye magazeti, eti leo hii wanajifanya mapacha duh kazi kweli
Haahaha yani nimechekaaaaa, warumi dhambi zote utazishinda dunia hii, lakini dhambi ya umbea itakutafuna binamu coz kwa ubuyu tu wa motooooo huna mpinzani
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahhha kumbeee kazi kwelii binam labda ufunge maombi tu kulia haisaidiiii
TEAM wema wote leo jion tunakutana pale leaders kuna mkesha kwa ajili ya maombi ya madame na kumlaani team dengue.[/QUOTE
Ha ha ha ha hiyo kali

Na kuna foundation jaman ya kumchangia madam kwa ajili ya kumpa pole , tunawaomba team wema mtume mchango wenu kupitia tigo pesa 06571345670 , jaman hili tukio ni kubwa so mchango uanzie elfu 20 kwenda mbele, team wema for life beiby

team wema amefanya Bidada jamani
Na kuna foundation jaman ya kumchangia madam kwa ajili ya kumpa pole , tunawaomba team wema mtume mchango wenu kupitia tigo pesa 06571345670 , jaman hili tukio ni kubwa so mchango uanzie elfu 20 kwenda mbele, team wema for life beiby
Nimeshatuma, umeiona binamu?
TEAM wema wote leo jion tunakutana pale leaders kuna mkesha kwa ajili ya maombi ya madame na kumlaani team dengue.
Hahhhha naona nawe mnaomba na mchango mi ntatoa milioni moja binamu
Hyo million binamu subir kwanza ntakutumia account ya madam uingize uko, na tunakupa uenyekekiti wa team
Na kuna foundation jaman ya kumchangia madam kwa ajili ya kumpa pole , tunawaomba team wema mtume mchango wenu kupitia tigo pesa 06571345670 , jaman hili tukio ni kubwa so mchango uanzie elfu 20 kwenda mbele, team wema for life beiby
mmmmh!binamu mbona km kuna harufu ya uchakachuaji!
Anamchagulia hadi na watu wa kuongea nae, na had nguo wanavaaga sare, yaani akili zao sijui zipoje