warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kuna cyber law inayotakiwa kupitishwa bungeni, yeyote atakayekuwa anasambaza picha za namna hii atachukuliwa sheria. hata kama ulitumiwa wewe utakaye-resend pia utakuwa responsible. FUTA DELETE KABISA
Yaani natamani kweli niisambaze humu, najua huu uzi utafungwa, ngoja niite wambea wenzangu wajiandae kupokea huu ubuyu