Picha ya mama Wema

Picha ya mama Wema

Kuna cyber law inayotakiwa kupitishwa bungeni, yeyote atakayekuwa anasambaza picha za namna hii atachukuliwa sheria. hata kama ulitumiwa wewe utakaye-resend pia utakuwa responsible. FUTA DELETE KABISA

Yaani natamani kweli niisambaze humu, najua huu uzi utafungwa, ngoja niite wambea wenzangu wajiandae kupokea huu ubuyu
 
Makubwa wa huku na kule ni wale walee, ogopa boko haram sio michambo

Uwii binamu nimepata picha ya mama wema aiseeh, natamani niisambaze kiama, maana nais kuwashwa, nikiacha nitaumwa aiseeh
 
Nimeiona ni photoshop imeunganishwa shingoni na aliyefanya alishindwa kuchanganya rangi so photoshop inaonekana wazi kabisa.
 
Kuna cyber law inayotakiwa kupitishwa bungeni, yeyote atakayekuwa anasambaza picha za namna hii atachukuliwa sheria. hata kama ulitumiwa wewe utakaye-resend pia utakuwa responsible. FUTA DELETE KABISA


Orally yes !
Your able to say thats !
 
Kuna clip imewekwa ya mamake diamond anabanduliwa live na ki serengeti boy ...mama ana miuno hatareeee


Yaani Mama Diamond ana mtu kweli? Mhhhh, kama ni kweli basi duniani kila kitu kinawezekana. Mama Diamond anabanjuliwa😱😱😱😱
 
Wema ni mtu ambaye hajitambui, badala kutumia umaarufu wake kufanya kazi/kutoa filamu yeye anaona sifa kuwa maarufu wakati haiingizi chochote.
Huwa namhurumia sana sababu anapoteza nafasi/muda mwingi kwenye ujinga.

Ni kweli lakini pia inabidi kutambua kuwa kwa mtu kama Wema inachukua a long time ku-mature na most of the times watu kama yeye wana realize when it's too late. Ndipo unakuta sasa mwanamke anagawa uroda kwa kila mtu kama vile hana akili timamu...!
 
Ni kweli, nasikia aliumwa sana had akapoteza fahamu kwa dakikia 29 , nasikia shoga ake aunty ezekiel ndo akamwagia maji baadae akazinduka, sasa ivi madai ndo anaiomba serikali na mamlaka ya mawasiliano TCRA waingilie kati kuhusu watu wanaotukana ovyo mitandaoni


Kumbe hivi ndivyo bongo movie wanavyo anza maigizo yao? Halaaaaaa, basi from now on I pledge not to watch bongo movies anymore.
 
Mmh aunty ezekiel nae aka mbeba pochi wa wema kazi anayo, nilikuwa namkubal sana Aunty, toka ajifanye msukule wa wema sepetu sijui nalionaje, yan linapelekeshwa kama msukule wa gwajima, yani ukitak ushoga na wema sharti uwe msukule atakachosema ndo hicho unafanya, na ndio maana haziivi na wolper wala uwoya coz wote wanajiona ma diva



Tuongee ukweli...between Wolper, Uwoya, Wema...nani Diva? Surely, Wema ain't above them ila timu zake tu ndizo zinampa support. Aunt mwenyewe yuko better looking than Wema ila kwa kuwa anajidharau amekubali kufanywa msukule wa Wema kwa kubeba mizigo yake. Shida kweli kweli.
 
Back
Top Bottom