Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Ndo wakome, kajala alivyokuwa akitukanwA na mwanae na picha zake za uchi kuzisambaza walikuwa wanaona utamu eeh?? Sasa ndo wajifunze hizo team zao sio nzur, mi kwa upande wangu ki ukweli nimefurah sana, maana hat wema wakat team yake ikimtukana kajala na mwanae alikuwa kimya badala ya kuikanya team yake, na yeye yamemkut, saf san, m nimefurahi

Kuna clip imewekwa ya mamake diamond anabanduliwa live na ki serengeti boy ...mama ana miuno hatareeee
Kitu kinaonekana kilikuwa mnatoooo kinatema nta tu ..aaah pumzika wewe mzee abrahamu sepetuka
Ndo wakome, kajala alivyokuwa akitukanwA na mwanae na picha zake za uchi kuzisambaza walikuwa wanaona utamu eeh?? Sasa ndo wajifunze hizo team zao sio nzur, mi kwa upande wangu ki ukweli nimefurah sana, maana hat wema wakat team yake ikimtukana kajala na mwanae alikuwa kimya badala ya kuikanya team yake, na yeye yamemkut, saf san, m nimefurahi
Kiukweli mi nimefedheheka kwa ajili ya mama na other family members.. but wema deserve the pain
Hata tutetee vipi huu upuuzi lakini tutambue ya kuwa kosa moja halifanyi kosa jingine kuonekana si kosa. Kutukanwa kwa Kajala na wema kukaa kimya hakuhalalishi mama wa Wema kutukanwa.
Watu wanafikiri ndivyo watakavyojibu hivi siku ya hukumu kwamba.."wao walimtukana wa fulani ndo maana nikaona na mimi niunge mkono kutukana kwa wa kwao"....
Hizi zinazojiita 'team' zote zimejaa wapuuzi na watu wasio na maadili.Kwa sisi kuendelea kuunga mkono matendo ya timu yoyote ni kujiogesha katika uchafu wao na matope ya upuuzi wao.
Nachukia sana kutukanana hasa kuitukana hii miili ambayo MUNGU ametupa bure kama zawadi.
Sasa kwanini sisi kujitafutia makosa kwa kujiingiza kwenye kuhukumiwa kwao!!?Malipo mi humuhumu...na hiyo ndio hukumu yao....
Iam douting if you have a mumy so sorry lakini hiki kitu sio cha kufurahia angekua kawekwa wema kweli haki ufurahi lakini sio kwa mzazi!Nimeaikitika sana yaani mimi jf sio mchangiaji lakini kwa hili umekosea sana mkuu na nyie mnaosapoti just imagine angekua mama yako,iam not team wema or something but the matter ni mzazi hapa no.matter how you hate wema this is too much!
Hata tutetee vipi huu upuuzi lakini tutambue ya kuwa kosa moja halifanyi kosa jingine kuonekana si kosa. Kutukanwa kwa Kajala na wema kukaa kimya hakuhalalishi mama wa Wema kutukanwa.
Watu wanafikiri ndivyo watakavyojibu hivi siku ya hukumu kwamba.."wao walimtukana wa fulani ndo maana nikaona na mimi niunge mkono kutukana kwa wa kwao"....
Hizi zinazojiita 'team' zote zimejaa wapuuzi na watu wasio na maadili.Kwa sisi kuendelea kuunga mkono matendo ya timu yoyote ni kujiogesha katika uchafu wao na matope ya upuuzi wao.
Nachukia sana kutukanana hasa kuitukana hii miili ambayo MUNGU ametupa bure kama zawadi.
kwa hiyo kajala alivyokuwa anadhalilishwa na mwanae na picha za uchi ndo kitu cha kufuraia? Au kwa kuwa wema maarufu ndo mnamtetea?? Ndo ajue sasa hayo maumivu anayoyapat yeye ndo aliyeyapat kajal na mwanae kipind kile baada ya kutukanwa na team za wema na wema mwenyew kukaa kimya, no matter what apate na yeye maumivu ndo aone kuwa kajal alikuwa anaumia pia
Nashangaa kwanini mnaingiza mambo ya Kajala hapa,swala hapa ni mama Wema kudhalirishwa wakati hausiki kwenye ujinga wa kina Wema na Kajala,
Wangemfanyia Wema sababu ndio mgomvi wao na si mama yake.
Nakushauri usipende kushabikia vitu hata kama ni upuuzi hata kama humpendi Wema.
Nashangaa kwanini mnaingiza mambo ya Kajala hapa,swala hapa ni mama Wema kudhalirishwa wakati hausiki kwenye ujinga wa kina Wema na Kajala,
Wangemfanyia Wema sababu ndio mgomvi wao na si mama yake.
Nakushauri usipende kushabikia vitu hata kama ni upuuzi hata kama humpendi Wema.
Iam douting if you have a mumy so sorry lakini hiki kitu sio cha kufurahia angekua kawekwa wema kweli haki ufurahi lakini sio kwa mzazi!Nimeaikitika sana yaani mimi jf sio mchangiaji lakini kwa hili umekosea sana mkuu na nyie mnaosapoti just imagine angekua mama yako,iam not team wema or something but the matter ni mzazi hapa no.matter how you hate wema this is too much!
Mtoto wa kajala nae alikuwa anahusika.... !!!!