Picha ya Marlyn Monroe yavunja rekodi, yauzwa kwa Bilioni 450. Je, huyu mwanadada alikuwa na kipi cha ziada?

Alitumiwa na mamlaka ya nchi, literally.

"Alitumiwa" na Rais John F Kennedy pamoja na kaka yake Robert F Kennedy.
[emoji28][emoji28],kifupi 'alitumika' ipasavyo
 
Hii minada ni propaganda zaidi inatumika

Ova
 
Huwa napenda sana michango yako hasa unapogusia.
Quantum Physics na Relativity,
Najifunza vitu vingi. Uzidi kudumu mkuu.
Nabisha.

Mimi si msomi mkubwa wa mambo hayo, ni msomi wa kawaida.

Ila, katika jamii yetu hakuna wasomi wakubwa wengi wa mambo hayo, hata msomi wa kawaida anaonekana msomi mkubwa.
 
Marilyn Monroe alikuwa hyped!

Alijipatia umaarufu kwa kuwa na mahusiano na the Kennedy Brothers. Alimtungia John F. Kennedy kibao maarufu cha Happy Birthday Mr. President kisha kwenda kuimba siku ya kuzaliwa ya Rais Kennedy na hapo umaarufu wake ukapaa.

Ikumbukwe birthday party hiyo mke wa Kennedy hakuhudhuria kutokana na uhasama wake na Marilyn.

Aliyepanga mauaji ya Kennedy Brothers ndiye huyohuyo alishiriki kupanga mauaji ya Marilyn Monroe.
 
Statue ya huyo mrembo wa zamani
 
Picha ya mwaka 1962 quality kinyama
 
Kweli waafrika tunanunua vitu vya kipumbavu kabisa, Sasa maji machafu ya kuoshea maiti mtu ananunua!
Bora hao wazungu wananunuana Tena mnadani ila sisi tunanunua gizani uchafu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Alitumiwa na mamlaka ya nchi, literally.

"Alitumiwa" na Rais John F Kennedy pamoja na kaka yake Robert F Kennedy.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…