mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Bila chura wengine hatukuelewiStatue ya huyo mrembo wa zamaniView attachment 2219307View attachment 2219308
Hapo naona mauzauza tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila chura wengine hatukuelewiStatue ya huyo mrembo wa zamaniView attachment 2219307View attachment 2219308
Was sold for more than $170,000, three years ago.Ilikuwaje hio?
Kipi kinachonyesha sisi waafrika tuna akili nyingi kuliko wazungu?Kuna mda nawaza sisi waafrika tuna akili nyingi sana kuliko wazungu ni vile tu hatujikubali na roho mbaya wenyewe kwa wenyewe....wazungu Kuna mda unaona wanalazimisha tu baadhi ya vitu Ili Dunia iende wanavyotaka wao ila sidhani kama wametuzidi akili yyt...picha b 400 ujinga mtupu.
HahahahahahWazungu hutowaweza, utasikia sjui paka wa maiko jaksoni, sijui kitamba cha supastaa gani alilia akafutia machoz msiba wa mkewe, yaani ni mambo ya kiwaki waki kinoma.
Sababu ya umaskini sisi waafrica tunaona ni ufujaji wa maliKuna mda nawaza sisi waafrika tuna akili nyingi sana kuliko wazungu ni vile tu hatujikubali na roho mbaya wenyewe kwa wenyewe....wazungu Kuna mda unaona wanalazimisha tu baadhi ya vitu Ili Dunia iende wanavyotaka wao ila sidhani kama wametuzidi akili yyt...picha b 400 ujinga mtupu.