Mungu aheshimike kenge wewe njaa zako za matyako wazi usimtaje Mungu kwenye upumbafu wakoRais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Picha ya Rais Samia ipo hadi kwenye Mioyo ya watanzania. Sasa unashangaa vipi kuona picha kwenye mitungi ya Gas. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe.huwezi kushindana naye
Inaelekea wewe unapigwa vibao na mke wako,mwanaume gani unashangilia tumtungi twenye picha ya mke wa mwenzako,wala hata hujui kuwa mtungi,na vitu vingine vinavyofanywa na serekali ni wananchi wenyewe wanafanya kwa kupitia kodi zao wanazokatwa kila siku na kuwalipa hao ambao unawashangilia ambao hata kodi hawalipi zaidi ya kula.Chama gani cha upinzani cha kufanya hivyo wakati huko wamejaa wachumia tumbo wanaongalia namna ya kujaza mitumbo yao tu.
Bajeti mzee🤣Hivi umejuaje kwamba hapo ni mbele ya mtungi wa gesi sheikh?, mtungi si ni waduara ni kuuzungusha tu 😀
Usisahau ana marupurupu ya Million 60 kila mwezi za kufanyia kile anachojisikia yeye ukiondoa mshahara anaoupata kila mweziPicha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi hiyo kwa pesa yake mfukoni? Yaani pointi ni nini kuweke sura yake hapo?
Labda kwenye mioyo ya machawa na wajingaRais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Picha ya Rais Samia ipo hadi kwenye Mioyo ya watanzania. Sasa unashangaa vipi kuona picha kwenye mitungi ya Gas. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe.huwezi kushindana naye
Jibu swali uliloulizwa sio unatype tu kwa sababu una vidole. Tumia ubongo wako wa mbele kuchakata maswali sio tumbo lako.Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.
Hakuna swali hapo wewe.Jibu swali uliloulizwa sio unatype tu kwa sababu una vidole. Tumia ubongo wako wa mbele kuchakata maswali sio tumbo lako.