Nyanje
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 763
- 680
Mungu aheshimike kenge wewe njaa zako za matyako wazi usimtaje Mungu kwenye upumbafu wakoRais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Picha ya Rais Samia ipo hadi kwenye Mioyo ya watanzania. Sasa unashangaa vipi kuona picha kwenye mitungi ya Gas. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe.huwezi kushindana naye