Pre GE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

Pre GE2025 Picha ya Samia kwenye mitungi ya gesi ni ya nini? Haya ndio mambo CHADEMA wanapinga. Msimamizi wa vyama vya siasa yupo kama kipofu na kiziwi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Picha ya Rais Samia ipo hadi kwenye Mioyo ya watanzania. Sasa unashangaa vipi kuona picha kwenye mitungi ya Gas. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe.huwezi kushindana naye
Mungu aheshimike kenge wewe njaa zako za matyako wazi usimtaje Mungu kwenye upumbafu wako
 
Nanunua rangi na paint hapo kwenye hiyo picha au nakwangua kabisa .
 
Mwanaume mzima ninunue mtungi wenye picha ya mke wa mwanaume mwenzangu niweke ndani kwa sababu unauzwa elfu20,si nafuu nionyeshe uanaume wangu kwa kununua mtungi kwa bei ya sokoni nikabandika picha ya mke wangu niweke ndani.
 
Chama gani cha upinzani cha kufanya hivyo wakati huko wamejaa wachumia tumbo wanaongalia namna ya kujaza mitumbo yao tu.
Inaelekea wewe unapigwa vibao na mke wako,mwanaume gani unashangilia tumtungi twenye picha ya mke wa mwenzako,wala hata hujui kuwa mtungi,na vitu vingine vinavyofanywa na serekali ni wananchi wenyewe wanafanya kwa kupitia kodi zao wanazokatwa kila siku na kuwalipa hao ambao unawashangilia ambao hata kodi hawalipi zaidi ya kula.
 
Picha ya Samia ipo kwenye mitungi sababu yeye ndio mtengenezaji wa mitungi hiyo? Au kampuni yake ndio inafanya usambazaji? Yeye ndio kanunua mitungi hiyo kwa pesa yake mfukoni? Yaani pointi ni nini kuweke sura yake hapo?
Usisahau ana marupurupu ya Million 60 kila mwezi za kufanyia kile anachojisikia yeye ukiondoa mshahara anaoupata kila mwezi
 
Rais Samia ni Kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Picha ya Rais Samia ipo hadi kwenye Mioyo ya watanzania. Sasa unashangaa vipi kuona picha kwenye mitungi ya Gas. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe.huwezi kushindana naye
Labda kwenye mioyo ya machawa na wajinga
 
Back
Top Bottom