Picha ya Siku, imepatikana kwenye Msiba wa Lowassa

Picha ya Siku, imepatikana kwenye Msiba wa Lowassa

Naona Tivu anasinyaaa
Hapo anawaza rambi rambi

Msechu nae kashaandika nyimbo mbili za maombolezo anasubiri majina tu aweke vina
 
Hivi huyu Steve Nyerere ni kijana au mzee? Mbona kama anavunjiwa heshima?

Nilitegemea jina lake liwe linaanzia na "mzee". Yaani aitwe "mzee Steve Nyerere".
 
Huyu ni kada mwandamizi wa mbogamboga
FB_IMG_1707323899494.jpg
 
Back
Top Bottom